Naomba msaada Jinsi gani ya kujiunga na TCU

abdala mbuya

Member
Joined
Jul 20, 2014
Posts
83
Reaction score
9
Msaada jamani, nifanyaje kuwa na ac TCU na kufanya maombi ya kujiunga chuo?

yani nina cheti na naitaji enda soma pitia TCU
 
Una cheti? anyway iko hivi, wenye sifa ya kusoma vyuo kupitia tcu ni kuanzia f6 na wenye diploma au degree holders wanaotaka kusoma master n.k! afu TCU huwa wana muda maalum wa kuruhusu watu kufanya application

Mf kuanzia april kwa wasio form 6 na f6 huanza baada ya kumalza pepa..isitoshe kuna vocha ya TCU inauzwa nbc bank elf 50 ndo unaitumia kufanyia applctn! UMEELEWA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…