Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Fungua redio hiyo device ukiwa hujaichomoa,,,,,,,,,,search redio ya kawaida katika redio yako may be 88.5 FM. Ingiza hiyo device katika sehemu hiyo ya kuwashia sigara, hakikisha nayo unaiseti frequency zake sawa na hizo za redio yaani 88.5. Hapo utapata muziki bila shida kutoka katika device yako.....Wana janvi
Naomba msaada nina MP3/mp4 nimeiweka sehem ambayo wengi wavuta sigara huwa wanatumia kuwashia sigara ile port, sasa nashindwa jinsi ya ku connect na radio ya ndani ya gari ili nikiiwasha mp3/mp4 sauti isikike kwenye speaker za gari ambazo zimeunganishwa na radio yake.
shukrani
Hahahaaah wewe jamaa,,,,,,,,,!!! Atakuwa dereva mpya, taratibu ataelewa, si kila mtu anajua kila kitu......nami nakumbuka mara ya kwanza ilikuwa hivi, niliuliza kama huyu jamaa japo mimi niliuliza dukani niliponunua hiyo MP3 player.Hilo tu unashindwa unaweza kuliendesha kweli?
Any way hakikisha namba za bend za fm zinaendana na za mp3
Sogeza mbele au nyumba hadi ziendane kama ni 99.5 kwenye radio ya gari na ya kwenye mp3 iwe hivyo
Uanze kuweka ya kwenye gari na uweke namba ambayo haina radio , I mean mahali ambapo radio ya gari haiongei,
Nb: ulisahau kuangalia oil ya gari na maji , ukishaangalia funika inavyopaswa.
Ndio mkuu nimekumbuka baadaye ndo maana nikampa na elimu nyingineHahahaaah wewe jamaa,,,,,,,,,!!! Atakuwa dereva mpya, taratibu ataelewa, si kila mtu anajua kila kitu......nami nakumbuka mara ya kwanza ilikuwa hivi, niliuliza kama huyu jamaa japo mimi niliuliza dukani niliponunua hiyo MP3 player.
88.5 ni Clouds FM. Mimi naipata kwenye 88.8 FMFungua redio hiyo device ukiwa hujaichomoa,,,,,,,,,,search redio ya kawaida katika redio yako may be 88.5 FM. Ingiza hiyo device katika sehemu hiyo ya kuwashia sigara, hakikisha nayo unaiseti frequency zake sawa na hizo za redio yaani 88.5. Hapo utapata muziki bila shida kutoka katika device yako.....
Kuna topic iko hapo juu [emoji115] [emoji115] [emoji115] inaelezea namna ya kukngeza frequency. IfuatilieAhsante nimefanikiwa bado changamoto iliyopo hapa ni jinsi ya kuongeza frequency kwenye radio ya gari ya kijapani