Naomba msaada jinsi ya ku-install software kwenye Ubuntu.

Jaluo_Nyeupe

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Posts
2,824
Reaction score
2,264
Mimi si mtaalam sana wa computer. Nimeweka Ubuntu 10.10 kwenye computer yangu sasa nataka ni-install media player software ya Exaile-0.3.2.0 nimeshai-download ila sijui nianzie wapi. Nimejaribu ku-google ila maelezo niliyopata nimeishia kwenye "terminal" sasa namna ya kuandika hizo code ndio nimeshindwa. Naombeni msaada tafadhali.
 
Huwezi kuinstall programu kwa namna hiyo unapotumia Ubuntu. Wao wenyewe wanazo software zao ambazo zipo kwa repositories zao, so ni lazima kutumia kitu kinaitwa Ubuntu Software Center ambaco kiko hapo kwenye Applications chini kabisa. (sina hakika kama nimekumbuka vizuri)
 
Ubuntu ni jamii ya debian, kwa hiyo naamini file lako linasomeka xxxxx.deb
kama ni hivyo ktk termina jisogeze eneo ulilodownload hiyo software mfano:
cd /home/jaluo_nyeupe/Downloads
ukitaka kujua kama upo mahali sahihi andika
ls *.deb
itaonesha mafaili yote likiwamo hilo ulilodownload. Sasa piga amri hii hapa:
sudo dpkg -i xxxxx.deb
ingiza password and enjoy your player!
Btw, kwa nini hutaki kutumia rhythmbox inayokuja na ubuntu? Au basi jaribu Banshee kwa kuiweka namna hii:
sudo apt-get install banshee

all the best!
 
@Gurta unaweza na hizi ni baadhi ya njia:
download a setup in debian form, .deb
download sources compile them and install
use ubuntu software center
use synaptic manager
use commandline apt-get or aptitude

the last three helps you to access repos and are best alternative to newbees!
 

Sasa mkuu bila kufafanua hayo maelezo ya google ulisyoshindwa ni yapi au umeshindwaje utasaidiwaje. unaweza kushauriwa hicho hicho ilichoshindwa kuelewa google ikawa n imarudio.

Onyesha link uliyoshindwa kuelewa upate msaada mzuri.

Soma na haya maelezo Install Exaile media player and Enjoy Your Music in Ubuntu

NB
hilo file la exaile_0.2.7_i386.deb unaweza kucheki kwenye hiyo website(Index of /files) kama kuna latest version then ukabadilisha name ie badala ya exaile_0.2.7_i386.deb ukatumia o.3.x_.deb

Ebu ngoja niingie kwenye ubuntu nijaribu hii installation. sijaitumia siku nyingi hii OS
 
Wakuu asanteni kwa maelezo mliyonipa, kwa kufafanua zaidi ni kwamba natumia modem kwa hiyo nimeshindwa kuitumia kwenye computer niliyoweka ubuntu, hivyo basi nime-download file linaitwa exaile-0.3.2.0.tar.gz kutoka kwenye computer nyingine na kuliweka kwenye deskotop ya computer yenye Ubuntu. Maelezo niliyoyapata kutoka google nime-type kwenye terminal hivi:-

sudo dpkg -i exaile-0.3.2.0.tar.gz t
hen nika-press Enter ikanidai password nikaingiza password nazotumia ku-login then nika-press Enter ikaandika "cannot access archive: No such file or directory" hapo ndipo nilipoishia.

Sababu za kutaka kutumia Exaile badala ya Rythmbox, inadai haina mp3 plugins pia kutaka kujifunza jinsi ya kufanya installation kwenye Ubuntu.
 

Connect kwenye internet halafu fungua mp3 file kutumia Rythmbox, kitakachofuatia ni kukuamibia hakuna plugins na tokea hapo itaconnect kudownload hizo plugins.
 
Connect kwenye internet halafu fungua mp3 file kutumia Rythmbox, kitakachofuatia ni kukuamibia hakuna plugins na tokea hapo itaconnect kudownload hizo plugins.

Mkuu asante kwa maelezo yako. Ila nimesema natumia modem hivyo nimeshindwa ku-connect computer inayotumia ubuntu kwenye internet.
 
ni huawei E160x ambayo ipo unlocked ambayo huwa natumia vodacom au airtel

allow mobile broadband ita-detec
ila mara nyingine itaitambua modem yako kama removable media badala ya modem, chakufanya eject au safely remove ile removable media part ya hiyo modem (mobile connect)
 
allow mobile broadband ita-detec
ila mara nyingine itaitambua modem yako kama removable media badala ya modem, chakufanya eject au safely remove ile removable media part ya hiyo modem (mobile connect)

Hai-detect chochote mkuu.
 

mkuu hii command sidhani kama inaweza kufanikiwa sababu hata kwa kutumia logic ya windows lazima utaje path kamili ya mahali faili file. kaa umesema lipo kwenye desktop je una uhakika hiyo ndiyo command sahihi
 
mkuu hii command sidhani kama inaweza kufanikiwa sababu hata kwa kutumia logic ya windows lazima utaje path kamili ya mahali faili file. kaa umesema lipo kwenye desktop je una uhakika hiyo ndiyo command sahihi

mkuu nilijaribu pia hii ambayo nikiangalia location ya file ndipo lilipo, /home/name/Desktop sudo dpkg -i exaile-0.3.2.0.tar.gz ikaandika bash: /home/name/Desktop: is a directory
 
hiyo ni gz file na siyo deb kwa hiyo huwezi tumia dpkg. change dir to where the file is like: cd /home/jaluo/Downloads na upige ls *.gz uone kama hilo file lipo. Kama lipo then good!piga command hizi kwa kufuata mpangilio:
tar -xzf xxxxx.tar.gz
cd xxxxx/
./configure
make
sudo make insttall

pia ubuntu inadetect modem automatically na kuiadd ktk netwrk manager. Fuata procedure hiia.
Right click network manager icon (kale ka icon kanakuonesha lan iko connected) na uclick edit. Bonyeza tab ya wireless broad band halafu bonyeza add. Fuata step na sehemu usizoelewa acha na click forward mpaka finish. Then ktk options za connection manager itaongezeka na each time ukiiweka modem itadetect

mwisho acha uchoyoo we mjaluo, mtu akiandika post ya msaada mpe thanks!
 
mkuu nilijaribu pia hii ambayo nikiangalia location ya file ndipo lilipo, /home/name/Desktop sudo dpkg -i exaile-0.3.2.0.tar.gz ikaandika bash: /home/name/Desktop: is a directory

tatizo hukusoma bandiko langu hapo juu.
Kabla hujafanya chochote na faili hili lazima utembee mpaka lilipo. Tumia amri hii:
cd /home/name /Desktop
tar -xzf filename.tar.gz
cd filename_produced_folder/
./configure
make
sudo make install

feedback mapema muhimu. Wengine hatukai muda mrefu sana JF. Ni kwa vipindi tu
 

ooh! Asante sana, nilikuwa sijui kama jf mobile wameweka kitufe cha ''thanks''.

Nimetoka kidogo nikirudi nitafanyia kazi nakutoa feedback.
 
Ok, nimejaribu kuiangalia. Ngoja nikupe procedure za haraka na hakika kama utazifuata vyema:
sudo apt-add-repository ppa:exaile-devel/ppa
sudo apt-get update
sudo apt-get install exaile

enjoy your music
 
The above command will work up to Lucid (I have checked repos don't have Maverick package). Now for those with 10.10 use this:
sudo add-apt-repository ppa:nilarimogard/webupd8
sudo apt-get update
sudo apt-get install exaile

Thanks to Webupd8 for providing the repos
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…