Naomba msaada jinsi ya ku-install software kwenye Ubuntu.


Asante sana mkuu, kwa kufuata maelekezo yako nimeweza kupata internet kwa kutumia modem. Hivyo nimeweza kuinstall vitu vingi tofauti na kutumia packages.
 
Nakushauri utumie VLC player for me is the best ever player just go to Ubuntu Software Center then baada ya kufunguka pale kwenye search type"VLC" then utapata option ya kuinstall ila hakikisha uko kwenye mtandao wa intaneti:roll:
 
I use VLC for playing much of videos, but I love Banshee for audio. It can play videos too, banshee is really audio maverick and can handle IPods too! I will try it as video player and see!
 
Nataka kutumia os ya fedora 14, tayari nshaiweka ktk pc katika second partition nyingine.
Naombeni maelezo ya jinsi ya:
1. Ku-update
2. Ku-instal and ku-uninstal programs
3. Compatible software
4. Ku-activate in-built in media programs, video and audio and other application software
Na vitu vingine vitakavyonifanya niwe fit/competent katika linux
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…