Wale wenye principal pass moja na wakasoma certificate mwaka mmoja na wameomba kujiunga degree kupitia TCU. Je, vikwazo gani mmepata wakati mkiapply? Nataka nami nilipie but ningependa kufahamu taratibu, ni special kwa wale walioapply na wale wenye uelewa na hili.
Inauma mimi nimesoma diploma ya journalism toka 'London School of Journalism' kwa njia ya masafa. Nimetumia miezi.9 kumaliza lakini NACTE wamei.grade kama 'certificate' chuo gani watanipokea hapa bongo. I'm confused!