Naomba msaada Jinsi ya kuondoa fatal error kwenye installation ya OS

innocent_teulas

New Member
Joined
May 8, 2009
Posts
1
Reaction score
0
Wadau habari za kazi,naomba msaada wenu nimekwama kumalizia installation ya operating system ya windows XP service pack 2 ni laptop ya Hp compaq nx9010 baada ya kucopy files inaleta message ya Fatal Error naomba ushauri wenu nifanyeje ili kuondoa hiyo message na niendelee na instalation.
Nitashukru sana kwa ushauri wenu.Mdau wa teknolojia kutoka Iringa
 
Hebu iandike hiyo Fatal Error message yote kama ilivyo.

Inawezekana Installation CD ina matatizo. Au pengine ni CDROM Drive ndiyo yenye shida.

Kwenye hiyo laptop kulikuwa na Operating System gani kabla hujaanza kufanya installation?
Ilikuwa na tatizo lolote?
 
Kaka tupatie hiyo error. Halafu mimi nadhani hiyo CDROM iko poa, cheki hiyo cd kwanza. try changing it...best of luck
 

Angalia hio kamanda.....
 
Je ulipokua una install windows yako ilikuambia kamakuna file ina miss au coroupted na je uliis skip kama ndio nakushauri utafute cd nignine u install kama no fanya reistall tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…