Nashukuru kwa msaada wako, binafsi ningependa kusoma Mbeya lakini imeshindikana kwasababu ya family issues. Either way, I'll keep struggling to achieve my goals. God bless you!Japokuwa sijajua kwanini umeshindwa kwenda hujawa wazi lakini km unapenda tahasusi ya PCM hata Loleza ipo tena kubadilisha ukiwa pale pale ni rahisi sana kuliko kutafuta uhamisho maana uhamisho procedures kibao, upate nafasi unakotaka kuhamia muda mwingine unakuta unakuwa ugumu ksb serikali wamechagua watu according to maximum capacity ya shule husika btw nikutakie kila la kheri ktk kutimiza ndoto zako!
Mkuu nahitaji kuhama shule pamoja na combination lakini cha muhimu zaidi ni huo uhamisho. Asante kwa taarifa, ntapitia website yao.Ni afadhali ukabadilisha combi loleza hapohapo kwasababu kuhama shule unatakiwa uwe umemaliza kuhula mzima ndio uombe uhamisho.
Ingia website ya tamisemi kuna tangazo linaelezea hilo swala
Asante sana. Best wishes to you too.Hiyo comb ya PCM loleza ipo km shida kubadilisha hilo usijali, ila km shida n uhamisho sheria n lazima usome 1 term ktk shule husika ndipo ufanye uhamisho, ila nakutakia kila la kheri ktk kutimiza ndoto zako, comb ngumu na ni ya heshima, mate