Naomba msaada jinsi ya kupika pilau


unaweza kututasfiria kwa kiswahili ndugu
 
Jamani mnisaidie kunielekeza ingawa najua ni kupika pilau ni process ndefu.
Jinsi ya kuchanganyia viungo(spices) na ni viungo gani mhimu.
Thanks!

Bila shaka we watokea bara weye.........
 
Kuna Ile ya kukaaanga vitunguu maji vingi hadi vipige brownish, unavitenga mbali. Wakati wa kipambia wali wako unafanya kama kuweka space katikati then unvimwaga vile vitunguu na zabibu kavu then una bake. Wakati wa kupakua unachanganya, pilau inakua na rangi ya brown na harufu nzuri. Hii inaitwa pilau ya asumini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…