Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Buy them outKila MTU ana share 33% tupo watatu share zipo sawa tatizo hawawezi mupambana kama madifector so naona wananirudisha nyuma na napenda kuwa na kampuni hiyo cozi najua kuwa na kampuni kongwe kunaongrza trust ya kupata hata tenda na kuaminika kuliko kuanzisha mpya unajikuta unakuwa kama kampun changa ukitafuta tenda hicho kigezo kinamata
Kila MTU ana share 33% tupo watatu share zipo sawa tatizo hawawezi mupambana kama madifector so naona wananirudisha nyuma na napenda kuwa na kampuni hiyo cozi najua kuwa na kampuni kongwe kunaongrza trust ya kupata hata tenda na kuaminika kuliko kuanzisha mpya unajikuta unakuwa kama kampun changa ukitafuta tenda hicho kigezo kinamata
Ahasante chief nimeipata namba ntaenda nimpigie nkiwa mitaa hiyo tuonaneMpigie huyu jamaa ni consultant mzuri na ndo alinisaidia kunifungulia kampuni yangu yupo pale karume anaitwa afrolink +255659212222
Yes ebu nisaidie hapo kujua je naezaje kufanya kama wao kama una uzoefu kidogo hapo njue kisheria tutatokaje ?Hapa mdau umemdanganya mleta Uzi hiki kitu kipo na kinawezekana sitaki kuongea sana ila mfano angalia kampuni ya Mo, na quality group utaelewa nn namaanisha na wote hao wana tin no moja ila wanakampuni zaidi ya 10
Mpigie Huyo niliekupa no ndo atakupa A-Z mkuu kama upo serious kweliYes ebu nisaidie hapo kujua je naezaje kufanya kama wao kama una uzoefu kidogo hapo njue kisheria tutatokaje ?
We acha tu ndo hivyo loss haifaiKwahiyo baada ya loss mkapoteana kabisa