Naomba msaada juu ya kampuni yangu

Huwezi kufungua kampuni ndani ya kampuni,

Hapo cha kukushahuri kwanza nijue kila director na share % Ngapi, Baada ya hapo ndyo naweza advise isije ikawe unataka miliki wewe kampuni alafu ukawa una share 10% hao wengine wana 45% kila mmoja.

Kama mtaweza kukubaliana pia mnaweza wekeana mkataka ukachukua share ya 90% peke yako wao wakabaki na 5% ambayo haina nguvu wanabaki tu kupunguza usumbufu wa kubadilisha vitu.
kama utahitaji ushauri zaidi karibu PM
 
Tafuta wakili msomi,
1. Transfer shares zao kuja kwako kuwaondoa kwenye majukumu, n.b TRA watakuchungulia kwa hilo.

2. Wao kufanya kazi ndani ya kampuni yako ... Utarudi kwenye tatizo unalolikimbia lazima kampuni mama iwe na shares kwenye kampuni mtoto ili iweze ku operate chini ya umbrella yake...
 
ERIK,

Kila MTU ana share 33% tupo watatu share zipo sawa tatizo hawawezi mupambana kama madifector so naona wananirudisha nyuma na napenda kuwa na kampuni hiyo cozi najua kuwa na kampuni kongwe kunaongrza trust ya kupata hata tenda na kuaminika kuliko kuanzisha mpya unajikuta unakuwa kama kampun changa ukitafuta tenda hicho kigezo kinamata
 
Buy them out
 

pole saana, hapo wote ni 50/50 kwa maana hata wakilala nyumbani kampuni ni yao na inawahusu.

Ongea nao kila mmoja wapo hapo akuuzie share zake uimiliki 100% au uwatoe uweke wengne hata watu wako wa karibu tu.

All in all ni vyema ukafungua kampuni mpya
 
ERIK, Hapa mdau umemdanganya mleta Uzi hiki kitu kipo na kinawezekana sitaki kuongea sana ila mfano angalia kampuni ya Mo, na quality group utaelewa nn namaanisha na wote hao wana tin no moja ila wanakampuni zaidi ya 10
 
mujulu, Mpigie huyu jamaa ni consultant mzuri na ndo alinisaidia kunifungulia kampuni yangu yupo pale karume anaitwa afrolink +255659212222
 
Mpigie huyu jamaa ni consultant mzuri na ndo alinisaidia kunifungulia kampuni yangu yupo pale karume anaitwa afrolink +255659212222
Ahasante chief nimeipata namba ntaenda nimpigie nkiwa mitaa hiyo tuonane
 
Hapa mdau umemdanganya mleta Uzi hiki kitu kipo na kinawezekana sitaki kuongea sana ila mfano angalia kampuni ya Mo, na quality group utaelewa nn namaanisha na wote hao wana tin no moja ila wanakampuni zaidi ya 10
Yes ebu nisaidie hapo kujua je naezaje kufanya kama wao kama una uzoefu kidogo hapo njue kisheria tutatokaje ?
 
Yes ebu nisaidie hapo kujua je naezaje kufanya kama wao kama una uzoefu kidogo hapo njue kisheria tutatokaje ?
Mpigie Huyo niliekupa no ndo atakupa A-Z mkuu kama upo serious kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…