Heshima zenu wote.
Niliwahi kusikia ya kwamba ndugu zangu Wakristo - Wasabato (samahani kwa kutaja dini, lakini kwa nia njema kabisa) huwa wanafundishwa mbinu za mapishi ikiwamo kuandaa vyakula kwa njia ya kiasili.
Mimi naomba ,kutoka kwa yeyote anayejua,maelezo juu ya mbinu za kutengeneza majani chai kutokana na majani ya mlimao. Naamini wengi wenu mnaweza, naomba kuwakilisha.