double click
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 569
- 949
Ukisema wewe kuna ubaya?
Swal la kwanza jibu laka n concentration na stregh between the substance kwan ammonia chloride inayotoka inakuwa na streght kubwa kulko hydrogen chlolide,pia ni kutokana na ammona chloride kuchukua nafac kubwa katika mixture,last but one n kutokana na ammonia chlode kuwa na densty kubwa hivo hydrogen chloride inatoka kwenye tube mapema .....
kwani wewe ni mwalimu au ni mtalaam wa chemia? kama sio mwalimu wala mtalaam unaonaje ukimwambia hujui na ukamshauri akamuulize mtu sahihi?
nimepotea njia jamani...pakutokea ni wapi??
Kuhusu hilo la kwanza hata nilitaka kukujibu kama alivyojibu mkuu tusichoke hapo juu
1.Hcl gas z acidic bt not an acid while in gaseous state. Viceversa 2 ammonia chloride
For the first question HCL is a strong acidic gas while NH3 is weak basic gas,so acidic gas will dominate ammonia gas hence litmus will change to red and not blue