Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Nina mtoto alizaliwa tukiwa Ghana, na tukapewa birth notification na Ghana kwa ajili ya kuombea temporary travel document ili kurudi Tanzania. Tulipofika Tanzania tulimwombea birth certificate lakini tukaambiwa birth certificate inayotolewa Tanzania ni kwa ajili ya watoto wale tu wanaozaliwa Tanzania. Hata kama wazazi wa mtoto ni Watanzania na mtoto hakuzaliwa Tanzania basi birth certificate haitatolewa na Tanzania.
Kimsingi, tunaambiwa turudi Ghana tukaombe birth certificate. Tanzania hawawezi kutoa certificate kwa mtoto aliyezaliwa nje ya Tanzania, na kuandika place of birth "Accra", japo tuna birth notification iliyotupa travel document.
Hivi ni kweli kwamba birth certificate ya Tanzania haiwezi kuwa na mahali pa kuzaliwa nje ya Tanzania? Mie nauli ya kurudi na mtoto hadi Ghana sina. Kuna njia mbadala ya kupata birth certificate?