Naomba Msaada juu ya Where Born kwenye Birth Certifcate ya Tanzania

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
12,699
Reaction score
22,598
Nina mtoto alizaliwa tukiwa Ghana, na tukapewa birth notification na Ghana kwa ajili ya kuombea temporary travel document ili kurudi Tanzania. Tulipofika Tanzania tulimwombea birth certificate lakini tukaambiwa birth certificate inayotolewa Tanzania ni kwa ajili ya watoto wale tu wanaozaliwa Tanzania. Hata kama wazazi wa mtoto ni Watanzania na mtoto hakuzaliwa Tanzania basi birth certificate haitatolewa na Tanzania.

Kimsingi, tunaambiwa turudi Ghana tukaombe birth certificate. Tanzania hawawezi kutoa certificate kwa mtoto aliyezaliwa nje ya Tanzania, na kuandika place of birth "Accra", japo tuna birth notification iliyotupa travel document.

Hivi ni kweli kwamba birth certificate ya Tanzania haiwezi kuwa na mahali pa kuzaliwa nje ya Tanzania? Mie nauli ya kurudi na mtoto hadi Ghana sina. Kuna njia mbadala ya kupata birth certificate?
 

Nimeiona hii kwenye RITA

FrequentlyAsked Questions (FAQs)

Birthsand Deaths FAQs

  1. I am a Tanzanian born abroad; can I obtain a birth certificate from your office?
    • Tanzanian born abroad cannot obtain birth certificate in Tanzania in Tanzania Mainland. The law governing births and deaths registration does not allow to register birth events that occurred abroad.
  2. My birth certificate has the names I was given after birth, and my other documents have got different names, how can I go about addressing the problem?
    • The law allows to change names within two years after registration of birth.Alternatively, change of name can be effected through registration of Deed Poll CAP.117
  3. I was born many years ago at home; can i obtain my birth certificate?
    • Yes. Birth Certificate can be obtained through application for late registration by filling Form BD15. Note: This should not go beyond April, 1921
  4. My father died many years ago, I need the Death certificate, how can I obtain it?
    • The procedure to obtain a death certificate is to register a death event first by filling application Form BD6
 
Maswali ya msingi hapa ni je kutambulika kwa uraia wako wa nchi fulani kunaanza lini na wapi? Nini uthibitisho wa uraia? Hii inatofautiana kati ya nchi na nchi ingawa wote wanafuata "UN Birth Registration Digest" unaweza kuisaka mtandaoni for more clarification.

Mwanao ni raia wa Ghana kwa kuzaliwa bila kujali uraia wa wazazi, mpaka hapo mahakama na office ya RITA itakapo jiridhisha na ushaidi utakao toa. Ambao ni cheti za kuzaliwa mtoto nchini Ghana. Vinginevyo mnamnyima mtoto haki zake za msingi, ikiwa ni pamoja na kutambulika na kulindwa.

Note: Hii ni tofauti na uraia wa kuomba.
 

Ni kweli ndugu yangu itabidi urudi Ghana ili uweze kupata hiyo Birth Certificate ya kuzaliwa kwa mtoto. Nasema hivi kwa sababu nami nilizalia watoto nje ya tanzania na niukapewa tangazo, nikaweza kuja Tanzania na mtoto lakini bado nilirudi kwenye ile nchi na kupeocess birth certificate za watoto na zinatumika Tanzania bila tatizo.
 
jee huyo mtoto aliezaliwa huko ghana atakua anatambuliwa kisheria km raia wa tanzania katik kundiipi la uraia katik haya(birth,decent or by naturalization)
 
jee huyo mtoto aliezaliwa huko ghana atakua anatambuliwa kisheria km raia wa tanzania katik kundiipi la uraia katik haya(birth,decent or by naturalization)

Kisheria mtoto huyo anatambulika kuwa ni mtanzania kwa kurithi..[by decent].
Ila akifikisha miaka 18, atahitaji kukana uraia wa ghana kama anataka kuwa mtanzania.
 
chunya: kwa yy huyo mtoto c umesema amekua mtanzania kwa kurithi sasa mbon umesem akane uraia wa ghan kivip na yy ni raia wa tanzania namba kueleweshwa
 
jee mtu aliepata uraia wa tanzania kwa sababu ya kuoa au kuolewa na mtanzania ikotokea kuachana au yule mtanzania kufarik jee uraia wa yule mtu utaendelea?
 
chunya: kwa yy huyo mtoto c umesema amekua
mtanzania kwa kurithi sasa mbon umesem akane
uraia wa ghan kivip na yy ni raia wa tanzania
namba kueleweshwa
 
NATURALIZATION OF
WOMEN MARRIED TO
CITIZENS
A woman married to a
citizen of the United
Republic shall at any time
during the life time of the
husband be entitled upon
making an application in a
prescribed form, to be
naturalized as a citizen of
the United Republic. sheria hii ina sem vip ikiwa alieolewa atafarik au kuachana
 

Mkuu mwanangu hatambuliwi kama raia wa Ghana kwa sababu alizaliwa Ghana. Nadhani hii sheria hata hapa Tanzania tunayo, kwamba mtoto akizaliwa Tanzania na wazazi ambao sio watanzania au sio wakazi wa kudumu wa Tanzania, basi hawezi kuwa Mtanzania. Kuna nchi chache kama Marekani ambazo kuzaliwa katika nchi hizo kunakupa uraia.

Yaani ninahisi hii ni kama uonevu kwa mtoto asiye na kosa.
 
jee mtu aliepata uraia wa tanzania kwa sababu ya kuoa au kuolewa na mtanzania ikotokea kuachana au yule mtanzania kufarik jee uraia wa yule mtu utaendelea?

Mkuu ninavyoelewa ukisha pewa uraia basi uraia unakuwa wako binafsi, hauhusishwi tena na mtu mwingine, mke au mume. Ndio maana kuna watu wakiwa masomoni Ulaya, walikuwa wanawadanganya wasichana wa nchi za Ulaya na kuwaoa. Wakisha pewa uraia walikuwa wanawatolea nje! Kuna nchi za ulaya hadi zikaweka sheria kwamba hupewi uraia hadi ndoa yenu idumu kwa angalau miaka mitatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…