Naomba msaada kama kuna wadau wanaozielewa projector kali inayoonesha 4k, bei kwa badget ya 500,000-1000,000

Naomba msaada kama kuna wadau wanaozielewa projector kali inayoonesha 4k, bei kwa badget ya 500,000-1000,000

bhna

Member
Joined
Feb 2, 2023
Posts
33
Reaction score
65
Habari wanajamvi nataka kufungua biashara eneo la wazi biashara itahusisha chips,mihogo yakukaanga,nyama choma,supu nk nafikiria kununua projector itakayo nipa nch 100 ama zaid iwe moja ya kivutio hasa kipind cha mipira na movie kali

Kama kuna wadau wanaozielewa projector kali inayoonesha 4k, bei kwa badget ya 500000- milioni 1 itakayotoa nch 100 ama zaidi

Note sijui chochote kuhusu projector.
 
4k,bei kwa badget ya 500000-1m
Anzia AMAZON ili kupata mwanga zaidi ni brand ipi itakufaa zaidi, Wakati tukisubiria michango toka kwa wadau.
1723187260708.png

Code:
 waweza ingia hapa Amazon:
https://bit.ly/3LXdoCn
 
Tafuta EPSON ndio zinakuwaga kali na bora humohumo amazon then uiagize
 
Ni kweli hujui chochote kuhusu projector,
Huwez kupata projector Kali nchi 100 kwa milioni moja,
Utapigwa
 
Back
Top Bottom