G G MBOLO Member Joined Feb 27, 2018 Posts 5 Reaction score 1 Apr 15, 2018 #1 Habarini wana JF naombeni msaada kwa mtu yoyote anaejua kampuni au taasisi ya mikopo yenye riba nzuri anisadie... Au makampuni ya kuingia nao mkataba wakanirejebishia nyumba za kupangisha Ni maboresho CIO kujenga
Habarini wana JF naombeni msaada kwa mtu yoyote anaejua kampuni au taasisi ya mikopo yenye riba nzuri anisadie... Au makampuni ya kuingia nao mkataba wakanirejebishia nyumba za kupangisha Ni maboresho CIO kujenga
Alvin A. JF-Expert Member Joined Oct 14, 2016 Posts 2,865 Reaction score 3,640 Oct 4, 2018 #3 so far CRDB is the best
Samcezar JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 13,096 Reaction score 22,826 Oct 11, 2018 #4 Tanzania bado tupo nyuma sana katika soko la mikopo..... Yaani wateja wapo tunakosa watu wenye uwezo wa kushauri vema tu ili project zilipe pesa zirudi..... Benki zinabakia kugombea wafanya kazi tu
Tanzania bado tupo nyuma sana katika soko la mikopo..... Yaani wateja wapo tunakosa watu wenye uwezo wa kushauri vema tu ili project zilipe pesa zirudi..... Benki zinabakia kugombea wafanya kazi tu