nasoma chuo kikuu dodoma[udom] mwaka a pili, nasoma kozi ya Public Administration nadaiwa laki nne ndo ambazo hazijalipwa mpaka sasa,endapo chuo kikifunguliwa mwez wa kumi mwaka huu naingia mwaka wa tatu.Nimejitahid kutafuta japo ajira za muda mfupi ila sijapata,nimeomba maombi ya sensa baati ilkuwa si yangu,sijapata.Basi ndugu zangu hata sielewi na kama mavyojua ajira za siku hizi kujuana,na ketu mimi ndo mtu ambae nineza sema kuwa ndo nilobahatika kufika chuo.