Naomba msaada katika kilimo cha mahindi: Majani kuanzia chini kuja juu yanakauka, sijajua shida ni nini

Naomba msaada katika kilimo cha mahindi: Majani kuanzia chini kuja juu yanakauka, sijajua shida ni nini

GM98

Member
Joined
Dec 9, 2022
Posts
21
Reaction score
12
Habari wakuu,

Nimepanda mahindi mwezi November 2023 maeneo ya mkuranga mbegu ya pioneer sasa yamefikia hatua ya kubeba(yana miezi miwili) ila yamepata tatizo lakunyauka majani kuanzia chini kuja juu sijajua shida ni nini sijapuliza dawa ya magugu wala ku overdose kiwatilifu chochote, naombeni msaada wenu wakulima wenzangu.
IMG_2279.jpg

Kama yanavyoonekana hapa hii ni yalivyo kwa sasa

IMG_2277.jpg

Majani kwa ukaribu

IMG_2276.jpg
 
Back
Top Bottom