Nimepanda mahindi mwezi November 2023 maeneo ya mkuranga mbegu ya pioneer sasa yamefikia hatua ya kubeba(yana miezi miwili) ila yamepata tatizo lakunyauka majani kuanzia chini kuja juu sijajua shida ni nini sijapuliza dawa ya magugu wala ku overdose kiwatilifu chochote, naombeni msaada wenu wakulima wenzangu.