Naomba msaada kidogo Online Shopping

Naomba msaada kidogo Online Shopping

interg can2

Member
Joined
Oct 20, 2016
Posts
5
Reaction score
7
Habari wadau!
Naombeni msaada juu ya vitu vitatu kama kuna mtu yeyote mwenye ujuzi juu yake

1. Forwading company yenye gharama nafuu kidogo?

2. Secondly, mfano nimenunua bidhaa kutoka ama shopping market tofauti ie(aliexpress,ebay,amazon) kwakivipi naweza kuzikusanya ili hii mizigo yote iwe shipped na forwading company moja kwa muda sawa?

3. Mwisho pia mfano nimenunua bidhaa kutoka kwenye duka tofauti ndani ya Market moja mf: Aliexpress nawezaje kuzikusanya zikawa shipped na Forwading Company moja ile zinifikie kwa pamoja?
 
3- unaziweka kwenye cart.. wao wata organize cha kufanya..

2- Alafu ili zisafirishwe na agency mmoja na kwa pamoja.. inabidi uwasiliane na hyo kampuni uwaambie situation iliopo wao watasubir mizigo iletwe kwa pamoja warehouse then ndo watasafirisha..

1- jaribu hawa Silent ocean wanatoa mizigo china to tz including tax....
 
Tunawapataje hai silent ocean
 
Shukran mkuu
 
Back
Top Bottom