Naomba msaada kuhusu AVN Number

Naomba msaada kuhusu AVN Number

Mimi pia tatizo linafanana




Screenshot_20240903-152141.png
 
nenda steshenari ya karibu ..wao wanakutanaga na watu wengi wenye changamoto kama hizi,hivyo utapata ufumbuzi wa tatizo lako
 
Wakuu Naombeni msaada nipeta AVN NUMBER lakini kila nikiomba chuo sehemu ya kueka AVN INASEMA no data found shida ni Nini ?!
AVN ni number inayotolewa na NACTVET kuthibitisha matokeo yako ya diploma.
So Ili uipate ni lazima uombe kupitia kurasa zao za mitandaoni.
Bila hiyo huwezi kuomba mkopo au chuo.

Kama una changamoto yoyote uliza nitakusaidia pale nitakapo weza
 
Wakuu Naombeni msaada nipeta AVN NUMBER lakini kila nikiomba chuo sehemu ya kueka AVN INA
Wakuu Naombeni msaada nipeta AVN NUMBER lakini kila nikiomba chuo sehemu ya kueka AVN INASEMA no data found shida ni Ni
SEMA no data found shida ni Nini ?!
ushatatua tazo???
Wakuu Naombeni msaada nipeta AVN NUMBER lakini kila nikiomba chuo sehemu ya kueka AVN INASEMA no data found shida ni Nini ?!
 
Mwenye changamoto ya hayo mambo ya AVN,nitafute nikusaidie,au kama ukiwa na changamo yoyote ile nitakusaidia humu humu
 
Back
Top Bottom