Naomba msaada kuhusu AVN Number

nenda steshenari ya karibu ..wao wanakutanaga na watu wengi wenye changamoto kama hizi,hivyo utapata ufumbuzi wa tatizo lako
 
Wakuu Naombeni msaada nipeta AVN NUMBER lakini kila nikiomba chuo sehemu ya kueka AVN INASEMA no data found shida ni Nini ?!
AVN ni number inayotolewa na NACTVET kuthibitisha matokeo yako ya diploma.
So Ili uipate ni lazima uombe kupitia kurasa zao za mitandaoni.
Bila hiyo huwezi kuomba mkopo au chuo.

Kama una changamoto yoyote uliza nitakusaidia pale nitakapo weza
 
ushatatua tazo???
Wakuu Naombeni msaada nipeta AVN NUMBER lakini kila nikiomba chuo sehemu ya kueka AVN INASEMA no data found shida ni Nini ?!
 
Mwenye changamoto ya hayo mambo ya AVN,nitafute nikusaidie,au kama ukiwa na changamo yoyote ile nitakusaidia humu humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…