Mwaka ndiyo hivyo tunauanza, mawazo safi ya biashara yanaanza kutokota.
Wazo la biashara ya mbao mahali nilipo haipo; nataka kuisogeza muongozo kwa anayeijua. Au kama kuna jamaa au rafiki yake niunganishe naye ili anipe ABC's za hiyo business.
Boss wangu mbao ni mtaji mkubwa unahitajika, vibali, navyo sio rahisi kupata. Kuna jamaa hapa Dar alishusha pieces za mbao za mkongo kama 1000 alisema ametoa nje ya nchi