Hello,
za muda huu wana jamvi,
Nilikuwa nafanya application BRELA upande wa prepare e-application sasa nimekutana na changamoto kila ninavyotaka kuproceed inaniambia classes of shares Group must have only one item. naomba nieleweshwe ni nini nakosea?
Shukrani