Naomba msaada kuhusu changamoto hizi kwenye biashara

mynah

Member
Joined
Sep 8, 2018
Posts
59
Reaction score
89
Wana jamvi naomba niwasilishe mada hii kama kijana ambae nataka na napenda sana kufanya biashara changamoto kubwa niliyokua nayo.
1. Ni biashara gani ya kufanya
2.eneo la kufanyia biashara

Wakuu Mimi still ni mwanafunzi wa chuo na Nina Stoke ya 700k ndo nauliza nifanye biashara gani ili nijikwamue nipo dar-es-salaam msaada wenu wakuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda ilala point vinguo na skin jeans za wadada wakati boom limetoka kauze chuo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…