AG.6851 Member Joined Jul 31, 2013 Posts 97 Reaction score 87 Aug 12, 2014 #1 Watanzanzania Wenzangu kwa anayefahamu kwa undani CHUO CHA OPERATING THEATRE MANAGEMENT SCHOOL MBEYA naomba anifahamishe! Nahitaji kujua location ya chuo na namna ya kufika.
Watanzanzania Wenzangu kwa anayefahamu kwa undani CHUO CHA OPERATING THEATRE MANAGEMENT SCHOOL MBEYA naomba anifahamishe! Nahitaji kujua location ya chuo na namna ya kufika.
KALYOVATIPI JF-Expert Member Joined Aug 11, 2011 Posts 1,414 Reaction score 199 Aug 12, 2014 #2 unataka kujua nn mkuu kama chuo kinajieleza au hata uelekezwe mbeya wapi?
B Baba Genovivah JF-Expert Member Joined Sep 1, 2013 Posts 756 Reaction score 249 Aug 12, 2014 #3 KALYOVATIPI said: unataka kujua nn mkuu kama chuo kinajieleza au hata uelekezwe mbeya wapi? Click to expand... wengi bado wanamatatzo ya kujieleza
KALYOVATIPI said: unataka kujua nn mkuu kama chuo kinajieleza au hata uelekezwe mbeya wapi? Click to expand... wengi bado wanamatatzo ya kujieleza