Naomba msaada kuhusu hedhi kwa kinadada

Redrose20

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
213
Reaction score
35
Habar wakuu,

Naomba kujuzwa, hivi kama mtu alipata period tarehe20 august akapata tena tarehe20 sept. mzunguko wake unakua niwa cku ngap? 28 au zaid? na ovulation inaweza anzia tarehe zipi?
 
Atakua na mzunguko wa siku 28, ovulation itakua trh3 au 4 inategemeana na mwezi unasiku 30 au 31
 
Tokea 20aug mpaka 20sept ni siku 32. Hivyo mzunguko wake ni siku 32. Ovulation inatokea siku ya katikati, means siku ya 16. Ilikua tarehe 4
 
Tokea 20aug mpaka 20sept ni siku 32. Hivyo mzunguko wake ni siku 32. Ovulation inatokea siku ya katikati, means siku ya 16. Ilikua tarehe 4

Mh..kweli?
OK..
Kwa kwaida mwanamke anaweza kuwa na mizunguko ya aina
Tatu . Mfupi: 21day
Wastan :28 day
Mrefu. :35day
Kumbaka hii ni wastan tu sio lazima iwe exactly kwa hiyo tare 20th agust -20th sept kwa wastan huyu mtu tuna muweka hapo kwenye watu wenye mzunguko wa wastan siku 28

NB
Ovulation hutokea mara nyingi siku ya 13.8-14.4 .Asilimia zaidi ya 89 ya wanawake wote wapo hivo.
Na hizi siku mara nyingi zipo konstant
Kinacho badilisha mzunguko ni huko mbele baada ya ovulation na si huku nyuma kabla ya ovulation
Kwa hiyo basi
Ukichukua wastant wa hizo siku mbili hapo unaweza kupata karibia 14 .2. Kwa hiyo 14+7 = 21 wastan japo Inaweza kuenda mpaka 21-24.
Tena ukichukua 14+14=28 wastan mpaka 29-30 .Halafu ukichukua 14+21 =35 ndo unapata huo mzunguko mrefu wenye siku 35.

Kwa hiyo ukiangalia vizuri hiyo mizunguko huwa ina pishana kwa wastan wa siku 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…