Please nisaidie walivyo matapeli, kuna mtu ananishawishi nijiunge ingawa hana maelezo ya kutosha kushawishi zaidi ya kuishia kuniambia unapata faida kubwa. Ameniambia kuwa unaweka pesa halafu baada ya muda fulani unapata faida kubwa. How? Ameshindwa kujibu