Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nimewahi kufanya one time.habari wana jf naomba msaada wenu kama kuna mtu anaelima kilimo cha mpunga shadidi nahitaji kuingia katika hiki kilimo kwani nimeona ni chenye tija na manufaa.
naomba kama unafanya hichi kilimo ni pm mawasiliano yako.
mkuu naweza kupata mawasiliano yako tukazungumza kidogo