Issaboy255
Member
- May 25, 2017
- 48
- 106
Ahsante vp kuhusu ajira zake mkuu?Iko vizuri kaisome
NAKAZIAIyo kozi iko vzur kuhusu ajira hakuna kozi yenye ajira siku izi hata ukisomea u dr utasota mtaani kama unasoma ili upate ajira nakushaur achana na mpango wa kusoma dogo utapata stress mtaani huku
soma tena hapa ...Naongezea Mtumaini sana Mungu nae atanyoosha mapito yakoIyo kozi iko vzur kuhusu ajira hakuna kozi yenye ajira siku izi hata ukisomea u dr utasota mtaani kama unasoma ili upate ajira nakushaur achana na mpango wa kusoma dogo utapata stress mtaani huku
Asante kwa ushaurisoma tena hapa ...Naongezea Mtumaini sana Mungu nae atanyoosha mapito yako