naomba msaada kuhusu kuhama chuo

naomba msaada kuhusu kuhama chuo

tendega

Member
Joined
Jun 19, 2013
Posts
61
Reaction score
13
hiv kwa wale wanaotaka kuhama chuo, ni kwamba ukikosa nafasi huko unakotaka kwenda maana yake unakuwa umepoteza nafasi yako ya awali?
 
hiv kwa wale wanaotaka kuhama chuo, ni kwamba ukikosa nafasi huko unakotaka kwenda maana yake unakuwa umepoteza nafasi yako ya awali?

ukisha cheza cheza unatulizwa sehemu moja pale pale ulipokua
 
Back
Top Bottom