Continuing student: Ni lazima kwa sababu wanataka kujua kama unahitaji kuendelea kukopeshwa sababu unaweza kuendelea kukopeshwa kumbe huhitaji tena, kwa hiyo lazima u-confirm na deadline ilisogezwa mpaka 20-07-2012, kwa sasa 'Online Application System' (OLAS) imeshafungwa hivyo ku-confirm itakuwa ngumu na walishasema 'continuing students' hawahitajiki ku-submit anything to the board zaidi ya ku-confirm kwa njia ya mtandao. Ushauri wangu: Jitahidi kuwa up-to-date na taarifa.
Kama nitaenda bodi yawezekana kwa sasa?