Naomba msaada kuhusu malipo ya kupelekwa kituo cha kazi

Naomba msaada kuhusu malipo ya kupelekwa kituo cha kazi

PAFKI

Senior Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
116
Reaction score
38
Mimi nimeajiriwa Arusha toka Dar,katika taratibu natakiwa nilipwe fedha ili nilete familia yangu ktk kituo changu cha kazi. menejimenti inasema nitafute bei ya kusafirisha mizigo yangu tani 1.5 nipeleke wanilipe. kinachonitatiza ni kwamba bei sijui, hii ni private sector ila wanasema wanalipa sawa na skimu za serikali.
NAOMBA MTU MWENYE KUFAHAMU NAPASWA NILIPWE SH NGAPI ANIJUZE NILIPWE HAKI YANGU
1.Mume na mke
2.Watoto watatu
3.mizigo tani 1.5
 
Back
Top Bottom