Naomba msaada kuhusu malipo ya Overtime, holidays, weekend na Nighty duties

Naomba msaada kuhusu malipo ya Overtime, holidays, weekend na Nighty duties

jodac

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2014
Posts
339
Reaction score
371
Mimi ni mwajiliwa mpya, napenda kujua kuhusu malipo ya Overtime, holidays, weekend na Nighty duties.
 
serikali inajali wafanyakazi wake utapata tu usijali
 
Tafuta standing order 2009 for public service ina maelezo yote kuhusu unayo yaitaji na mengineyo.
 
Hivi interns huwa wana hizo overtime allowances na hizo zingine zingine?
Anaweza lipwa na taasisi husika endapo wataona inafaa. Japokuwa niwajbu wa taasisi kumlipa extraduty allowances as per institution.
 
Back
Top Bottom