Utakuwa mwajiriwa wa wizara ya Afya wewe.Mimi ni mwajiliwa mpya, napenda kujua kuhusu malipo ya Overtime, holidays, weekend na Nighty duties.
Tunajuana mkuu, si rahisi mtu kukuelewa unaalikwa kwenye ubarikio unawaambia J'mosi na J2 utakuwa kazini hawaelewi.Yani hapo umelenga mule mule[emoji382] [emoji381]
stay calm ukizoea ofisi ukiwazoea mates wako watakuelekeza kila kituNilipo hapa nipo kazin lakini sijui vitu hivyo
WhatsApp m 0713347432Mimi ni mwajiliwa mpya, napenda kujua kuhusu malipo ya Overtime, holidays, weekend na Nighty duties.
Hivi interns huwa wana hizo overtime allowances na hizo zingine zingine?Utakuwa mwajiriwa wa wizara ya Afya wewe.