Damian J Ntundagi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2017
- 1,652
- 2,355
Kwahyo ukishalipasua ndio unaweka kwenye incubator acha utaniUtayatambua kwa kupasua.
Mkuu unatumia incubator ya namna gani?Habari zenu ndugu wafugaji naombeni mnisaidie jinsi ya kutambua mayai ya kuku wa kienyeji pure yanayofaa kutotoreshwa kwenye incubator maana nikiweka mayai 100 yameanguliwa 42 tu.
Ya sola
120
Ahsante nashukuruRatio ya tetea/jogoo iwe kuanzia 5,7, au 10/1. Ikizidi sana ni tetea 12/1.
Mayai yasikae siku zaidi ya 14. Kwa sehemu zenye joto mwisho siku 7.
Pia incubator iwe na usimamizi mzuri.
Mayai yahifadhiwe sehemu isiyo na mwanga.
Sent using Jamii Forums mobile app