A Adili JF-Expert Member Joined Nov 3, 2007 Posts 3,138 Reaction score 1,120 Jan 6, 2011 #1 Wanajamvi, Nitashukuru kujua mpaka kati ya Tanzania na Rwanda unapitia wapi hasa. Zamani maziwa magharibi mwa Karagwe tulikuwa tukiyagawana lakini sasa naona yote yamekimbilia Rwanda. Haya marekebisho yalitokea lini? Hasanteni
Wanajamvi, Nitashukuru kujua mpaka kati ya Tanzania na Rwanda unapitia wapi hasa. Zamani maziwa magharibi mwa Karagwe tulikuwa tukiyagawana lakini sasa naona yote yamekimbilia Rwanda. Haya marekebisho yalitokea lini? Hasanteni