DISMANDER GIRL
Member
- Dec 13, 2012
- 18
- 6
Wanajamii forum,naombeni kuuliza.Km mtu unataka kuandika barua ya kuacha kazi na mshahara huwa nalipwa tarehe 24.Je,barua naweza kuipeleka kwa mwajiri wangu tarehe 23? Au ni 24? Kwa malengo nisilipwe mshahara wa mwezi husika na nimlipe mwajiri.Msaada wa ushauri wapendwa.