L Landlord444 New Member Joined Aug 11, 2021 Posts 1 Reaction score 1 Mar 18, 2025 #1 Je inawezekana TOYOTA HARRIER 2AZ-FE CC 2362 Manufacture year 2003 ikaipita gari ya PREMIO CC 1490 YEAR OF MANUFACTURE 2006 ambayo imetangulia safari kwa muda wa dakika 20 ikitokea DODOMA kwenda ARUSHA ikiwa madereva wote ni Wazuri
Je inawezekana TOYOTA HARRIER 2AZ-FE CC 2362 Manufacture year 2003 ikaipita gari ya PREMIO CC 1490 YEAR OF MANUFACTURE 2006 ambayo imetangulia safari kwa muda wa dakika 20 ikitokea DODOMA kwenda ARUSHA ikiwa madereva wote ni Wazuri
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 14,521 Reaction score 46,663 Mar 19, 2025 #2 Premio Hana ubavu wa kutoboa mbele ya harrier
C Chivundu Platinum Member Joined Dec 17, 2012 Posts 14,424 Reaction score 30,799 Mar 20, 2025 #3 PureView zeiss said: Premio Hana ubavu wa kutoboa mbele ya harrier Click to expand... Inaonekana hana ufahamu mkubwa na magari mtoa mada. Hizo ni gari mbili zenye kariba na uwezo tofauti.
PureView zeiss said: Premio Hana ubavu wa kutoboa mbele ya harrier Click to expand... Inaonekana hana ufahamu mkubwa na magari mtoa mada. Hizo ni gari mbili zenye kariba na uwezo tofauti.
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 14,521 Reaction score 46,663 Mar 20, 2025 #4 Chivundu said: Inaonekana hana ufahamu mkubwa na magari mtoa mada. Hizo ni gari mbili zenye kariba na uwezo tofauti. Click to expand... Upo Sahihi kabisaa mkuu
Chivundu said: Inaonekana hana ufahamu mkubwa na magari mtoa mada. Hizo ni gari mbili zenye kariba na uwezo tofauti. Click to expand... Upo Sahihi kabisaa mkuu
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,698 Reaction score 42,007 Mar 20, 2025 #5 Magari yote yanakimbia dereva ndio shida Overtaking na wapi pa kuchanganya wapi pa kwenda spidi kali kama una uwezo wa kubalance hivyo mtashindana ti
Magari yote yanakimbia dereva ndio shida Overtaking na wapi pa kuchanganya wapi pa kwenda spidi kali kama una uwezo wa kubalance hivyo mtashindana ti