Nikiwa fully uhakika nathubutu nikwambie hakuna dini yeyote inayozuia kumuoa mwanamke ex
ama alikua hawara yako or related matter, iwe alizaa au hakuzaa.
Unapohitaji kumhalalisha there is no objection , is quite applicable .
Asante baba watoto
Yeah sweety im here for uuNimetambua na kufarajishwa na uwepo wako hapa, ahsante!
"Mamie wana"
Nikiwa fully uhakika nathubutu nikwambie hakuna dini yeyote inayozuia kumuoa mwanamke ex
ama alikua hawara yako or related matter, iwe alizaa au hakuzaa.
Unapohitaji kumhalalisha there is no objection , is quite applicable .
MMU ni nini mama??
Mi nadhan wachangiaji waliopita wapo sahih ni kwamba na ndo sikuhiz imekuwa si jambo lakushangaa watu weng wanaoana bt b4 kuhalalisha wanakuwa washakaa pamoja kama mke na mumenaomba mawazo yako bibie katika mada please..
Yeah sweety im here for uu
mh.....
Unaguna nin?
Habarini wana jf..mimi kuna swala linanitatiza hasa kwa watu wenye imani za dini zenu naomba mnifafanulie hili..Hivi kumuoa mwanamke ambae umeshaishi nae kinyumba linaruhusiwa katika imani yako?au ambae umeshazaa nae?kama jibu ni ndio kwa nini?na kama hapana kwa nini pia?naomba unifafanulie mtazamo wako juu ya hili..ukinipa na mistari ya kitabu unachokiamini utakuwa umenisaidia sana.
Angalizo:
Hii ni kwa wale watu wenye kujielewa,matusi,kejeli,dharau kwa imani isiyo yako hayahitajiki.kama huwezi hili tafadhali pita tu.
We niache mie nina mambo yangu