Naomba msaada kuhusu Selection TCU

zolo

Member
Joined
Sep 29, 2014
Posts
76
Reaction score
23
Nilikuw naomba advises zenu kusu hil jambo Kweny profile yangu inaniosha kuwa nimekuwa selected By St.johns university of Tanzania ambayo n main campus Ipo Dodoma Bachelor of Accounting and Finance but TCU wana nionesha Nipo selected by St.Johns university Dar es Salaam campus hiyo hiyo course ya BAF .

So naomba msaada wenu wa kimamazo Ni kipi ni kifanye ili niweze kubaki SJUT main campus n Siyo campus y DSM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…