Naomba msaada kuhusu sponsorship na scholarship

Naomba msaada kuhusu sponsorship na scholarship

mirymicaiah605

Senior Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
107
Reaction score
17
Jamani mwenye uelewa na maswala ya sponsorship na scholarship..... nahitaji kujua hizo fomu huwa zinalipiwa au la!
 
Nenda kwenye google andika scholarship zitakuja nyingi chagua unazotaka.NA HIVI UNA E MAIL NI RAHISI ZAIDI KUAPPLY.
 
Mi nauliza kuwa kuna malipo yoyte au fomu au malipo ya,aina yoyte baada ya kupata hizo scholarship au sponsorship???
 
Mwenye uelewa na hili suala nami naomba kujua jinsi ya kupata ufadhili wa mafunzo ya vyuo vya afya ngazi ya cheti? ili baadae nifanye kazi kwenye taasisi niliyofanya nayo mkataba huo! natanguliza shukran!
 
Back
Top Bottom