mirymicaiah605 Senior Member Joined Apr 6, 2014 Posts 107 Reaction score 17 Aug 6, 2014 #1 Jamani mwenye uelewa na maswala ya sponsorship na scholarship..... nahitaji kujua hizo fomu huwa zinalipiwa au la!
Jamani mwenye uelewa na maswala ya sponsorship na scholarship..... nahitaji kujua hizo fomu huwa zinalipiwa au la!
U ufumawicha JF-Expert Member Joined Mar 16, 2014 Posts 504 Reaction score 209 Aug 6, 2014 #2 Nenda kwenye google andika scholarship zitakuja nyingi chagua unazotaka.NA HIVI UNA E MAIL NI RAHISI ZAIDI KUAPPLY.
Nenda kwenye google andika scholarship zitakuja nyingi chagua unazotaka.NA HIVI UNA E MAIL NI RAHISI ZAIDI KUAPPLY.
mirymicaiah605 Senior Member Joined Apr 6, 2014 Posts 107 Reaction score 17 Aug 6, 2014 Thread starter #3 Mi nauliza kuwa kuna malipo yoyte au fomu au malipo ya,aina yoyte baada ya kupata hizo scholarship au sponsorship???
Mi nauliza kuwa kuna malipo yoyte au fomu au malipo ya,aina yoyte baada ya kupata hizo scholarship au sponsorship???
BENJA1 Member Joined Aug 6, 2014 Posts 39 Reaction score 8 Aug 7, 2014 #4 Mwenye uelewa na hili suala nami naomba kujua jinsi ya kupata ufadhili wa mafunzo ya vyuo vya afya ngazi ya cheti? ili baadae nifanye kazi kwenye taasisi niliyofanya nayo mkataba huo! natanguliza shukran!
Mwenye uelewa na hili suala nami naomba kujua jinsi ya kupata ufadhili wa mafunzo ya vyuo vya afya ngazi ya cheti? ili baadae nifanye kazi kwenye taasisi niliyofanya nayo mkataba huo! natanguliza shukran!