Naomba msaada Kuhusu transfer

Naomba msaada Kuhusu transfer

Joined
Jan 2, 2015
Posts
37
Reaction score
3
Mimi nmemalza kidato cha6 PCB nakpat chem-B, biology-B,BAM-B,Physcs-D nlichagulw st.jose-songea nkasome BSEwithphysics nataka nihame xab ada kubw, walim hawako dip, chuo kam primary sasa natak kuhama nkasome dip-md vyuo vya serikal au degree ya md kama kuna uwezkano naomben wan JF mnshaur cha kufany ntashkuru xana
 
Mimi nmemalza kidato cha6 PCB nakpat chem-B,biology-B,BAM-B,Physcs-D nlichagulw st.jose-songea nkasome BSEwithphysics nataka nihame xab ada kubw,walim hawako dip,chuo kam primary sasa natak kuhama nkasome dip-md vyuo vya serikal au degree ya md kama kuna uwezkano naomben wan JF mnshaur cha kufany ntashkuru xana

Enzi zetu BAM ilikuwa "S" sikuhizi kuna B
 
Mwaka jana uli apply vyuo gani as your first 3 choices. ...
 
Nakushauri usiende medicine sababu haupo serious .... especially unapobadili "X" kwa "S" ... unaposema xab ada kubwa unamaana gani ?
 
ulikua wap kufanya tranfer mapema?? au wakat wa kuchagua kozi uliwaza nin mpaka ukaenda huko wakat kwa matokeo yako hyo kozi pale mjin UDOM ipo...
thou nlisoma kipind cha BAM " S" naamin matokeo yako ni mazur sna tu compare na watu kibao walioko koz hyo vyuo vingne
 
Nenda tcu,unaweza kufanya credit transfer.
 
dah yan nlchagua afya wakrdsh jn et comptition wakawk vyuo vy prvat2 xo ckw n jnc
 
ebu nitafsirie ulichoandika hapa kijana?
yan nilichagua vyuo vya afya wakarudisha jina eti nimetemwa sababu ya competition kwahyo wakaweka vyuo vy private tu kuw ndo tulitakw kuomba so sikuwa na jinsi
 
yan nilichagua vyuo vya afya wakarudisha jina eti nimetemwa sababu ya competition kwahyo wakaweka vyuo vy private tu kuw ndo tulitakw kuomba so sikuwa na jinsi

kumbe unajua kuandka vizuri,asa kwa nin wakati mwingne unaandika madudu?anyway,nitafute baadae nikuelekeze kuhusu hiyo credit transfer.over
 
Dogo jifunze kuandika,huku sio facebook.Watu wana nia nzuri ya kukusaidia lakini kwa ujinga huo umewapoteza wengi...over!
 
kumbe unajua kuandka vizuri,asa kwa nin wakati mwingne unaandika madudu?anyway,nitafute baadae nikuelekeze kuhusu hiyo credit transfer.over

Na mimi pia ningependa kufahamishwa kuhusu hiyo credit transfer please
 
Watu hamjui afu mnamzingua eti kaandika vibaya we kama hujui kama kimya hamsaidii tatizo lake mnaisha kusema kaandika vby wabongo bhna we hujui hujui tuuu co kuandika kwa mtu kutafanya ushindwe msaidia acheni unafiki
 
apana kijana kwa vyuo vya serikali inaonekana wapo waliofaulu zaidi yako ndo maana ukakosa nafasi.kasome ata private
 
Back
Top Bottom