KATUNZI THE YOUNG
Member
- Jan 2, 2015
- 37
- 3
Mimi nmemalza kidato cha6 PCB nakpat chem-B,biology-B,BAM-B,Physcs-D nlichagulw st.jose-songea nkasome BSEwithphysics nataka nihame xab ada kubw,walim hawako dip,chuo kam primary sasa natak kuhama nkasome dip-md vyuo vya serikal au degree ya md kama kuna uwezkano naomben wan JF mnshaur cha kufany ntashkuru xana
llEnzi zetu BAM ilikuwa "S" sikuhizi kuna B
Nenda tcu,unaweza kufanya credit transfer.
nliomb muhas,udom,st.francs jn lkard et xab y competition wakawk vyuo vy private2 xo ckw n jncMwaka jana uli apply vyuo gani as your first 3 choices. ...
dah yan nlchagua afya wakrdsh jn et comptition wakawk vyuo vy prvat2 xo ckw n jnc
yan nilichagua vyuo vya afya wakarudisha jina eti nimetemwa sababu ya competition kwahyo wakaweka vyuo vy private tu kuw ndo tulitakw kuomba so sikuwa na jinsiebu nitafsirie ulichoandika hapa kijana?
yan nilichagua vyuo vya afya wakarudisha jina eti nimetemwa sababu ya competition kwahyo wakaweka vyuo vy private tu kuw ndo tulitakw kuomba so sikuwa na jinsi
poa kaka....kumbe unajua kuandka vizuri,asa kwa nin wakati mwingne unaandika madudu?anyway,nitafute baadae nikuelekeze kuhusu hiyo credit transfer.over
kumbe unajua kuandka vizuri,asa kwa nin wakati mwingne unaandika madudu?anyway,nitafute baadae nikuelekeze kuhusu hiyo credit transfer.over
Na mimi pia ningependa kufahamishwa kuhusu hiyo credit transfer please