Naomba Msaada Kuhusu uendeshaji wa Kilimo cha Green Beans na Green peper na masoko yake

Naomba Msaada Kuhusu uendeshaji wa Kilimo cha Green Beans na Green peper na masoko yake

kindboy

Senior Member
Joined
Dec 11, 2010
Posts
142
Reaction score
28
Ndugu wana JF natamani kuingia rasm kwenye kilimo cha matunda na mboga mboga (Hotculture)
Ningependa kupata japo kwa ufupi tu, namna ya uendeshaji wa kilimo cha Green Beans,Green Peper na Watermelon pia na masoko yake kwa ujumla, lakin pi ni katika ukanda upi mwa tanzania yanastawi bila shida. natambua kunachangamoto zake pia ningependa zifahamu.
 
mazao hayo yanastawi popote ambapo utapata chanzo cha kumwagilia nchini. kama utategemea mvua au kulima shamba kubwa nakushauri iringa vijijini na kilindi tanga
 
Back
Top Bottom