Naomba msaada kuhusu usajili wa vyuo na mikopo

Abou merlin

Member
Joined
Jun 22, 2012
Posts
58
Reaction score
3
Habari zenu wakuu,

Please naombeni msaada, nilijisajili ktka chuo amabacho sjapangiwa na TCU, so mkopo umeingizwa chuo nilichopangiwa na TCU amabcho sasa hiv nataka niende.

Je ! nitasajiliwa kwa kua nishasajiliwa na chuo kingine? au niende ku cancel nilipojisajili mwanzo ili wanisajili.
 
Labda kama upo jiran na ofis za tcu nenda kawa taarifu wakupe maujanja zaid
 
Tatizolako kigeugeu, sasa ngojea kuhairisha mwaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…