Naomba msaada kuhusu vyeti vya elimu

Naomba msaada kuhusu vyeti vya elimu

ndyo kiinayo ambayo inafanana na ya chuo na livng ya form four bt form sx n tofaut na hyo ya chet ingawa mwaka n mmoja
 
ndyo kiinayo ambayo inafanana na ya chuo na livng ya form four bt form sx n tofaut na hyo ya chet ingawa mwaka n mmoja

Natamani kukusaidia kama Mwanasheria lakini sielewi unavyoandika. Subiri watakaokuelewa maandishi yako. Lakini,tofauti ya tarehe yaweza kufafanuliwa kwa Kiapo mbele ya Kamishna wa Viapo (Hakimu au Wakili)
 
yan ni iv cheti cha kuzaliwa,living ya form na transcrpt ya chuo vina tar moja ambayo n tar 16/g/ 1992 ila chet cha form six kina tar 24/10/1992 sasa je haitonpa shda nktaka kuanza kaziii???
 
yan ni iv cheti cha kuzaliwa,living ya form na transcrpt ya chuo vina tar moja ambayo n tar 16/g/ 1992 ila chet cha form six kina tar 24/10/1992 sasa je haitonpa shda nktaka kuanza kaziii???

Tofauti imetokeaje? Fafanua kuhusu hilo mapema kwa Kiapo
 
nmekulia mbali na wazaz wangu nikawa cjui tar yangu exactly ya kuzaliwa katumia ya ant angu sasa advanc ndo nkaijua nkaona niandke ila kwenda rta wakatumia ya form four bas na chuo nkatumia hyo hyo
 
Hiyo inaweza kabisa kukuletea shida, Nendna kwa wataalam wa sheria uweze kuliweka sawa jambo hilo. Kwani kuna ajira zingine wako sensitive sana kwenye vitu kama hivyo
 
Tatizo maelezo yako hayako straight forward, tangu lini cheti kikawa na tarehe ya kuzaliwa? Nna wasi wasi hivyo vyeti sio vyako unataka kuleta kanjanja... Utafungwa, rudi shule utapata haki yako, quid pro quo
 
unaumwa we vyet n vyangu nmevisotea mwenywe sema uelew ndo maana unaparamia post akat wenzio wameshajbu
 
kwani unaomba kazi kwa leaving au academic? navyojua ni academic na tofauti yoyote inafanyika kwa kuapa kwa kamishina wa viapo hakimu au wakili haya hima nenda !
 
unaumwa we vyet n vyangu nmevisotea mwenywe sema uelew ndo maana unaparamia post akat wenzio wameshajbu

Sema leaving ndio ina umri. chakukushauri nenda uliko somea advance chukua leaving ya f4 na cheti cha kuzaliwa, ukamuone mkuu anaweza kukubadilishia leaving hiyo kwan yeye ndo hua anazitoa yawezakua ni makosa ya mchapaji wake kwenye kujaza alikosea, kwanza nae ataangalia ulivyosajiriwa kwenye file lako. tatizo dogo hilo. halafu we umesoma mpaka chuo hujawahi omba ushauri? du labda advance ya kata.
 
wewe sema...... nimekosea kuforge nisaidieni wapi naweza pata mtu wa kurekebisha
 
Back
Top Bottom