Naomba msaada kujibiwa haya maswali

pethidine 2

Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
20
Reaction score
12
Mimi sheria ilipita kushoto napenda kujua kazi za watu wafuatao
1. Hakimu
2. Judge
3. Wakiri

Pia nijue hizi mahakama kiundani zaidi
1. Mahakama ya mwanzo na inauwezo gani.
2. Mahakama ya wilaya na uwezo wake
3.mahakama ya rufaa na uwezo wake
4. Mahakama ya aridhi na si mahakama zingine
5. Mahakama ya watoto

Mwisho
Nn sababu ya kesi kusikilizwa muda mrefu?

Nawezaje kufungua jarada LA kesi

Nawezaje kuondoa kesi mahakamani/ kuifuta

Simu inapogika nikiwa mahakamani sheria inasemaje. Maana huwa nasikia ni makosa. Maswali ni mengi tuanze na haya.

Kuna nyuzi nyingi za namna hiyo humu ndani ebu google vizuri utaziona

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…