Naomba msaada kujua dawa ya NIMR inapatikana wapi?

Naomba msaada kujua dawa ya NIMR inapatikana wapi?

Kaulize Pharmacy iliyo karibu nawe. Hata kama hawana wa uwezo wa kuipata.
 
Dawa ipo karbu kila pharmacy pale Chato kwingne hamna.
 
Mabibo external, unalipia bank unaenda na receipt

"corona ipo tuchukue tahadhari"
 
Back
Top Bottom